Kellu Hill Secondary School, ni shule ya Kutwa na bweni kwa wasichana na wavulana, kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne, ina mazingira mazuri kwa ajili ya kujifunzia na kusomea, maabara na madarasa ya kisasa, ipo mkoa wa Morogoro, wilaya ya Mlimba. Ada zetu ni nafuu sana