Kellu Hill Secondary School iliyopo Mlimba, Morogoro inatangaza programu ya Pre Form One kwa wasichana na wavulana kuanzia tarehe 15/9/2025 hadi 15/12/2025. Ada ni nafuu sana ambapo bweni ni shilingi 2,000,000 kwa kipindi chote na kutwa ni shilingi 50,000 , ikijumuisha gharama ya chakula na tisheti kwa kipindi chote. Pia, nafasi za kuhamia kwa Kidato cha Kwanza na Kidato cha Tatu zimebaki chache sana hivyo kwa wazazi wote wanaotaka watoto wao wapate elimu bora, huu ni wakati wa kuwaandikisha kellu hill secondary school. Shule pia inakaribisha wanafunzi wa QTs. Usikose nafasi hii ya kipekee ya kupata elimu bora, mazingira salama, na walimu waliobobea! Jiunge nasi na anza safari yako ya mafanikio sasa!
kwa mawasiliano zaidi tupigie kuptia 0755329429 au 0752870339 au 0787889487 au tembelea https://kellusec.ac.tz/ kwa maelezo zaidi. nyote mnakaribishwa.maneno ya kipeperushi hayo