Shule ya Kellu Hill secondari ina wakaribisha wazazi wote kuwaleta vijana wao wa kike na wakiume kujiunga kidato cha kwanza na wale wanao hamia kidato cha tatu. Utaratibu ni mrahisi sana kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza na cha tatu. Karibuni sana. Kwa mawsiliano zaidi piga simu zilizopo katika wavuti hii.